Summer /kipindi cha joto icho kishaanza nukia kwa mliopo nje ya nchi Europe na America. Mije sema mlikosa mishono ya vitenge kushona hasa short dresses, basi kwa hizi samples am sure hutakosa kijimshono na wewe ukalipuka na kitenge chako ukaonekana wa maana njiani.