Tag Archives: mishono

African Styles Mishono ya Vitenge # 2017

MISHONO YA VITENGE. … tuwekee na sie wanene, maana mimi napenda sana mishono ya vitenge,kutokana na matukio utakayo taka kwenda kama nguo ni ya ofisini au kitctchen party. Ila ni muhimu kwenda kwa mafundi wanaoeleweka, kama una fundi mzuri au unajua duka wanalouza vitenge vizuri kutuelekeza kwenye comment. Pia kama una mishono mizuri unaweza kushare picha kwenye face book page ya blog ( Eunice Mahundi blog). Asante


Continue reading African Styles Mishono ya Vitenge # 2017

# ( Mishono ya Kitenge African prints )#

mitindo tofauti tofauti utakayoipenda na ukapendeza. Basi hapa nimekuwawekea mishono mizuri nimeigoogle, kuanzia nguo za kuvaa ofisini, harusini, matembezi ya jioni, kanisani nk. Unaweza ukachagua unaoupenda ukampelekea fundi wako akushonee.


Continue reading # ( Mishono ya Kitenge African prints )#