mishono ya nguo ya 2017

Mishono mixa ya mwendo kasi,naandika hii post nawaza mixa ya pilau na ndizi nyama jamaniagain with Mishono kibao just for you ,upate inspiration ya kushono mwezi huu.This fabric is out of this world so pretty